TUMIA MOOVN UPATE USAFIRI WA BEI NAFUU, SALAMA NA WA UHAKIKA!
Habari Dar-Es-Salaam!!
Tunapenda kukujulisha kuwa huduma za Moovn zimerudi kwa kishindo na maboresho zaidi! Usibaki kusimuliwa; Pata Usafiri was Bei Poa, Salama na Wa Uhakika kwa kutumia app ya Moovn!
Download app ya Moovn app, Sajili account yako, Agiza usafiri ili uanze kwenda na wakati…