Mo Dewji Blog

Mo Dewji Blog

Kampuni ya Moovn Tanzania Limited imeboresha huduma za usafiri na kuongeza usalama wa wateja kwa kuanzisha huduma za usafiri zinazopatikana kwa njia ya mtandao. Hayo yamesemwa leo Jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo,Bw.Godwin Ndugulile alipokua akiwaelekeza waandishi wa habari jinsi ya kujiunga na huduma za usafiri kwa njia ya mtandao.