Tanzania Government Blog

Tanzania Government Blog

April 21, 2016 MOOVN KUBORESHA HUDUMA YA USAFIRI DAR KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA APP Kampuni ya Moovn Tanzania Limited imeboresha huduma za usafiri na kuongeza usalama wa wateja kwa kuanzisha huduma za usafiri zinazopatikana kwa njia ya mtandao.