Mwananchi Newspaper

Mwananchi Newspaper

April 21, 2016 TEKNOLOGIA YA KISASA YA MOOVN YANUFAISHA MADEREVA 8600 DAR-ES-SALAAM: Zaidi wa madereva 8600 wa vyombo vya moto katika jiji la Dar es Salaam watanufaika na huduma mpya ya kusafirisha abiria kupitia mradi wa teknolojia mpya Moovn Satelaiti.