Dar-Es-Salaam, TZ

Dar-Es-Salaam, TZ

TUMIA MOOVN UPATE USAFIRI WA BEI NAFUU, SALAMA NA WA UHAKIKA!


JIPATIE TZS 3000/- 

Moovn ndiyo app pekee ambao inakupatia Usafiri bora Dar-Es-Salaam na hata Zanzibar! Pata Usafiri was Bei Poa, Salama na Wa Uhakika kwa kutumia app ya Moovn! Jipatie TZS 3000/- utakapokamilisha kujiunga na Moovn!

Fuata Hatua hizi: Download app ya Moovn app, Sajili account yako, Agiza Usafiri wa Moovn Uanze Kwenda na Wakati…

 

HABARI NJEMA KWA MADEREVA!

Ndugu Dereva. Usikubali kunyanyaswa na mitandao ambayo haijali maslahi yako. Jiunge na Moovn Ujipatie TZS 5000/- utakapokamilisha usajili wako na kuanza kuwa Online! Download App ya Moovn Driver uanze kunufaika na Promosheni mbali mbali zitakazokuongezea kipato chako leo!